Thursday, March 9, 2017

Mvua yatikisika dar march 8






March 8 2017 Dar es Salaam ilikubwa na mvua ambayo imesababisha mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Jiji; ikiwemo Tabata na Jangwani Dar es Salaam ndio maeneo yaliyoonekana kuathirika zaidi na Mvua hiyo. Pichani ni  ya baadhi ya mmaeneo ya jiji hilo..!

0 comments:

Post a Comment